Ni kinywaji kama vinywaji vingine vya energy, haina kemikali,
haina caffeine ya kutengenezwa. Ina tunda asili la guarana ambalo lilikuwa
linatumika Zaidi ya miaka 1000 nchini brazil kama caffeine ya asili na aloe
vera ambayo husaidia kusafisha mwili/kuondoa sumu ndani ya mwili, kuongeza
nguvu, inaondoa uchovu, kichwa kuuma pia kinywaji hiki kina mchanganyiko wa
matunda mbalimbali kama vile
Rhodiola
Schizandra
Gingsen
Pia ina virutubisho kama vile
vitamin B3, B5, B6, B12
Betkarotin
Taurine
Glucuronolactune
Inositol L-glutamine
Hivi vyote husaidia mwili kufanya kazi kwa afya
na nguvu bila kuchoka au uchovu usiojulikana, kurudisha kumbukumbu, kuondoa
stress,ubongo kufanya kazi,kurekebisha BP na sukari mwilini, kulinda ini, figo,
na moyo pia
Ni mmoja kati ya mmea unaojulikana tangu zamani sana. na
unazaidi ya miaka 2000 katika historia na sayansi. una umbo kama cactus lakini
ni jamii ya lilly.kuna Zaidi ya aina 200 za mimea y aloe vera(shubiri), unazaidi virutubisho 75 vikiwa pamoja na madini 20, amino acid 18 na vitamin 12
Aloe vera
ina faida kuu tano kwa mwili wa binadadamu hupenya mwilini na hufikia tishu za
ndani kabisa tabaka saba kwenda ndani
-
--Huua vimelea vya
magonjwa- inavicheo sita vinavyoua vimelea vya magonjwa kama bacteria, virus na
fangasi
- -
Uzalishaji
chembechembe hai za mwili- huchochea utengenezwaji wa chembechembempya na tishu
mpy zenye afya
--Hufanya mfumo wa
faham kufanya kazi vizuri- hutuliza matatizo yanayo athri mfumo wa faham
--Husafisha huondoa
sumu mwilini na hufanya utendaji wa wa kazi wa mwili urudi katika hali ya
kawaida
-Aloe vera ni kinywaji cha asili
ambaho uboresha n kuondoa maradhi mengi ktika miili yetu
Aloe vera inaweza kusaidia katika;
·Vidonda
Vinavyopatikana na kuungua,
kujikata, michubuko, vidonda vya tumbo, kung’atwa na wadudu pia wanyama wakali
·Mtatizo ya
kutopata haja hasa wakati wa kupata haja kibwa unapatwa na maumivu makali
·Matatizo ya ngozi
kama psoriasis, pumu ya ngozi,chunusi na dermatiris
·Tatizo la
mmeng’enyo wa chakula, kinga mwilini, ugonjwa wa koo,pumu na uchovu wa mwili
usioeleweka , maumivu sehemu mbalimbali za mwili na matatizo mengine
Aloe vera hubadilisa mfumo wa
mwili wako uendane na mahitaji ya mwili hivyo huondoa vitu visivyohitajika
mwilini na huondoa matatizo ya kuharisha na kutopata haja kubwa kirahisi.
Aloe vera ni salama, haina
sumu kwa bindamu na haina madhara. kimsingi ni juisi. Hata ukizidisha kipimo
haileti madhara. Inaweza kutumika ndani ya mwili kwa kunywa au kwa kupaka nje ya
mwili
·Hupunguza
Maumivu, uvimbe,
·Huondoa
Muwasho, fangas
Huua bacteria hata kama
ukichanganya kinywaji kingine
Inafanyaje kazi katika mwili
wa binadamu?
Ngozi
Aloe vera in mfumo wenyw
molecules ndogo sana . hivyo husaidia husaidia kupenya kutoka tabak la juu la
ngozi(epidermis), la kati(dermis) na kufikia tabka mwisho la ngozi(hypodermis).
Aloe verapia legnin inayosaidia ipenye
mpaka kwenye cellular level. Vilevile ina saponin ambayo inafanya kazi ya
usafishaji wa asili. Vyote hivi husaidia aloe kupenya na kufikia cellural level
ya ngozi na kuondoa sumu kutoka ndani mpaka nje ya mfumo wa ngozi. Pamoja na
hayo pia ina lish ngozi kuhusisha kwa virutubisho ilivyo navyo
Ndani ya mwilli
Utafiti unaonyesha kwamba
asilimia tisini (90%) ya magonjwa yote huanza kwenyemfumo wa mmeng’enyowa chakula. Kwahiyo
mmeng’enyo mzuri wa chakula, nyonywaji na usafirishaji wa virutubisho ni
muhimu kwaajili ya afya bora.Sumu n mafutahuziba ukuta wa sehemuya utumbo
iitwayo vilai, na kuzuia ufyonzwaji wa viini lishe na vitamin kwahiyo vinapita na
kutoka nje kama uchafu bila kufynzwa. Wakati mwili unkosa virutubisho kutoka
kwenyechakula unachokula. Mwili hupata
upungufu na kusababisha magonjwa mbalimbali, unapokunywa aloe vera unasaidia
kuondoa sumu kutoka kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kusaidia ufyonzaji
wa viini lishe na vitamini zilizopo kwenye vyakula tunavyokula. Kwakuwa miili
yetu kwa muda mrefu imekuwa na sumu. Hivyo ndio maana unashauriwa kutumia Aloe
vera na virutubisho vingine ili kuusaidia mwili kurekebisha mfumo wake kwa
ujumla.