Aloe vera ni nini?


Ni mmoja kati ya mmea unaojulikana tangu zamani sana. na unazaidi ya miaka 2000 katika historia na sayansi. una umbo kama cactus lakini ni jamii ya lilly.kuna Zaidi ya aina 200 za mimea y aloe vera(shubiri), unazaidi virutubisho 75 vikiwa pamoja na madini 20, amino acid 18 na vitamin 12
 Aloe vera ina faida kuu tano kwa mwili wa binadadamu hupenya mwilini na hufikia tishu za ndani kabisa tabaka saba kwenda ndani

-    


-        -Huua vimelea vya magonjwa- inavicheo sita vinavyoua vimelea vya magonjwa kama bacteria, virus na fangasi
-       - Uzalishaji chembechembe hai za mwili- huchochea utengenezwaji wa chembechembempya na tishu mpy zenye afya
-        -Hufanya mfumo wa faham kufanya kazi vizuri- hutuliza matatizo yanayo athri mfumo wa faham
-        -Husafisha huondoa sumu mwilini na hufanya utendaji wa wa kazi wa mwili urudi katika hali ya kawaida
-Aloe vera ni kinywaji cha asili ambaho uboresha n kuondoa maradhi mengi ktika miili yetu

 Aloe vera inaweza kusaidia katika;
·         Vidonda
Vinavyopatikana na kuungua, kujikata, michubuko, vidonda vya tumbo, kung’atwa na wadudu pia wanyama wakali
·         Mtatizo ya kutopata haja hasa wakati wa kupata haja kibwa unapatwa na maumivu makali
·         Matatizo ya ngozi kama psoriasis, pumu ya ngozi,chunusi na dermatiris
·         Tatizo la mmeng’enyo wa chakula, kinga mwilini, ugonjwa wa koo,pumu na uchovu wa mwili usioeleweka , maumivu sehemu mbalimbali za mwili na matatizo mengine
Aloe vera hubadilisa mfumo wa mwili wako uendane na mahitaji ya mwili hivyo huondoa vitu visivyohitajika mwilini na huondoa matatizo ya kuharisha na kutopata haja kubwa kirahisi.
Aloe vera ni salama, haina sumu kwa bindamu na haina madhara. kimsingi ni juisi. Hata ukizidisha kipimo haileti madhara. Inaweza kutumika ndani ya mwili kwa kunywa au kwa kupaka nje ya mwili
·         Hupunguza
Maumivu, uvimbe,
·         Huondoa
Muwasho, fangas
Huua bacteria hata kama ukichanganya kinywaji kingine

Inafanyaje kazi katika mwili wa binadamu?
Ngozi
Aloe vera in mfumo wenyw molecules ndogo sana . hivyo husaidia husaidia kupenya kutoka tabak la juu la ngozi(epidermis), la kati(dermis) na kufikia tabka mwisho la ngozi(hypodermis). Aloe vera  pia legnin inayosaidia ipenye mpaka kwenye cellular level. Vilevile ina saponin ambayo inafanya kazi ya usafishaji wa asili. Vyote hivi husaidia aloe kupenya na kufikia cellural level ya ngozi na kuondoa sumu kutoka ndani mpaka nje ya mfumo wa ngozi. Pamoja na hayo pia ina lish ngozi kuhusisha kwa virutubisho ilivyo navyo

Ndani ya mwilli
Utafiti unaonyesha kwamba asilimia tisini (90%) ya magonjwa yote huanza kwenye  mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Kwahiyo mmeng’enyo mzuri wa chakula, nyonywaji na usafirishaji wa virutubisho ni muhimu kwaajili ya afya bora.Sumu n mafuta  huziba ukuta wa sehemu ya utumbo iitwayo vilai, na kuzuia ufyonzwaji wa viini lishe na vitamin kwahiyo vinapita na kutoka nje kama uchafu bila kufynzwa. Wakati mwili unkosa virutubisho kutoka kwenye chakula unachokula. Mwili hupata upungufu na kusababisha magonjwa mbalimbali, unapokunywa aloe vera unasaidia kuondoa sumu kutoka kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kusaidia ufyonzaji wa viini lishe na vitamini zilizopo kwenye vyakula tunavyokula. Kwakuwa miili yetu kwa muda mrefu imekuwa na sumu. Hivyo ndio maana unashauriwa kutumia Aloe vera na virutubisho vingine ili kuusaidia mwili kurekebisha mfumo wake kwa ujumla.



EmoticonEmoticon