Ni kinywaji kama vinywaji vingine vya energy, haina kemikali,
haina caffeine ya kutengenezwa. Ina tunda asili la guarana ambalo lilikuwa
linatumika Zaidi ya miaka 1000 nchini brazil kama caffeine ya asili na aloe
vera ambayo husaidia kusafisha mwili/kuondoa sumu ndani ya mwili, kuongeza
nguvu, inaondoa uchovu, kichwa kuuma pia kinywaji hiki kina mchanganyiko wa
matunda mbalimbali kama vile
Rhodiola
Schizandra
Gingsen
Pia ina virutubisho kama vile
vitamin B3, B5, B6, B12
Betkarotin
Taurine
Glucuronolactune
Inositol L-glutamine
Hivi vyote husaidia mwili kufanya kazi kwa afya
na nguvu bila kuchoka au uchovu usiojulikana, kurudisha kumbukumbu, kuondoa
stress,ubongo kufanya kazi,kurekebisha BP na sukari mwilini, kulinda ini, figo,
na moyo piakwa mawasiliano zaidi
piga no. 0653 455 228 (Whatsapp)
mail us
officialletino@gmail.com
maygerletino@gmail.com
EmoticonEmoticon